Luke 13:18-19

18 aKisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? 19 bUmefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.”

Mfano Wa Chachu

(Mathayo 13:33)

Copyright information for SwhKC